Kozi Zetu za Ufundi Stadi
Tunatoa mafunzo ya vitendo katika fani mbalimbali ili kukuandaa kikamilifu kwa soko la ajira na ujasiriamali.
Ufundi Umeme
Jifunze kufunga, kutengeneza, na kukarabati mifumo ya umeme ya majumbani, maofisini na viwandani kwa viwango vya kisasa.
Fahamu Zaidi →
Ushonaji na Ubunifu wa Mavazi
Jifunze kanuni za usanifu wa mitindo, ukatji wa vitambaa, na ushonaji wa mavazi ya aina zote kwa ubunifu.
Fahamu Zaidi →
Useremala
Pata ujuzi wa kutengeneza samani za ndani (furniture), milango, madirisha, na bidhaa nyingine za mbao.
Fahamu Zaidi →