Jiunge na INCOMET VTC
Pata nafasi ya kusoma kozi za ufundi, ubunifu, teknolojia na ujasiriamali. Chagua aina ya kozi unayotaka kujiunga nayo.
Chagua Aina ya Kozi
Chagua kati ya Long Course au Short Course ili kuendelea na udahili.
Mawasiliano kwa Usaidizi
Ikiwa unahitaji msaada wa kujaza fomu au maelezo zaidi kuhusu kozi, wasiliana nasi.
Ofisi ya Udahili - INCOMET VTC
📍 Mafinga-Iringa, Mkabala na Benki ya MUCOBA
📱 0754 271181 | 0717 435333
📧 incometvtc@gmail.com
Maswali ya Kozi
Kwa maelezo ya ada, ratiba au usajili, tuma ujumbe au tembelea ofisi.
Muda wa kazi: Jumatatu – Ijumaa, 8:00AM – 4:00PM